Mfumo wa ahadi na michango

Simamia ahadi, malipo na salio kwa urahisi.

Tengeneza tukio, shiriki link kwa watu, pokea taarifa bila wao kuingia kwenye mfumo, na pakua ripoti zako kupitia PDF, Excel au Word.

Public link PDF, Excel na Word Salio automatic

Muhtasari wa tukio

MFANO
Jumla ya ahadi TZS 5,000,000
Iliyotolewa TZS 3,200,000
Salio TZS 1,800,000
Huduma za mfumo

Kila kitu unachohitaji kusimamia tukio

Mfumo umeandaliwa kuwa rahisi kutumia kwenye simu, tablet na computer.

01

Tengeneza public link

Kila tukio linapata link yake ambayo unaweza kushirikisha watu kupitia WhatsApp, SMS au mitandao mingine.

02

Hesabu salio automatic

Mfumo unachukua kiasi cha ahadi, kiasi kilichotolewa na kuhesabu salio moja kwa moja.

03

Pakua ripoti

Mwenye akaunti anaweza kupakua taarifa zake katika PDF, Excel au Microsoft Word.